4x4

HABARI MPASUKOOOO!!!!! NDESAMBURO WA CHADEMA AFARIKI DUNIA

Taarifa ambazo tumezipata za uhakika muda huu kutoka Mkoani Kilimanjaro aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mhe Ndesamburo amefariki muda mfupi uliopita.
Taarifa zaidi zitatolewa muda mfupi ujao.tmp_10841-11187479_10205198331255349_1441120754_o1548244571.jpg 
========UPDATES
Nimewasiliana na Mayor wa Jiji la Arusha Kalist amenithibitishia habari hizo ni za kweli na mpaka sasa bado wako KCMC. Mhe Ndesamburo alikuwa leo siku jumatano anakabidhi hundi ya shillings 3.5M kwa ajili ya rambirambi ya wafiwa wa shule ya Lucky Vincent
Post a Comment