JPM AKIWA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANIRais Dkt.John Magufuli akiwa uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,kutoka kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,Rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tumaini Nyamhokwa, Waziri Jenista Joakim Mhagama  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu,Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.  Rais Dkt.John Magufuli akiwa uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,kutoka kushoto Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John William Kijazi,Spika wa Bunge Job Ndugai ,Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,Waziri Jenista Joakim Mhagama  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tumaini Nyamhokwa,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki, na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik 

 Maandamano ya wafanyakazi wakipita mbele ya Rais Jogn Magufuli katika Viwanja vya ushirika mjini Moshi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani.

  Rais John Pombe Magufuli akiongoza kuimba wimbo wa wafanyakazi wa SOLIDARITY FOREVER katika uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi katika kilele cha sherehe za Mei Mosi.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

WAZIRI SHONZA AMJIBU DIAMOND

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

HABARI MPASUKOOO!!! MCHAWI ADONDOKA AKIWA UCHI KIVULE,DAR