4x4

JPM AMWAPISHA SIRRO KUWA IGP

Rais John Magufuli akimvisha cheo cha  Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro, ikiwa ni kitendo cha kumhalalisha kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini katika hafla iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam leo.
Post a Comment