4x4

KAMANDA SIRO ALIVYOKULA KIAPO IKULU DAR


Leo May 29, 2017 Rais Magufuli amemwapisha Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jesho la Polisi Tanzania (IGP), baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo May 28. IGP Sirro amechukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye imeelezwa atapangiwa kazi nyingine.
Nimekuwekea hapa picha za matukio yote ya kuapishwa kwa IGP Sirro.
             
VIDEO: Cha mwisho alichokizungumza IGP Mstaafu Ernest Mangu, bonyeza play hapa chini kutazama.
Post a Comment