KINANA AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA KUSINI HAPA NCHINI




Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akutana na Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29, 2017.

Katika mazungumzo yao, wamehimiza suala la kuboresha mahusiano baina ya Jamhuri ya Korea Kusini na Tanzania pamoja na kuzungumzia ushirikiano wa muda mrefu katika kufanikisha miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini.
 
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29, 2017.
  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Mei 29, 2017.
  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Mei 29, 2017.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*