4x4

Kutoka kwenye msiba wa Ivan Don, Kampala Uganda

AyoTV na millardayo zinafatilia kila kinachoendelea kwenye msiba wa mume wa zamani wa Zari the Boss Lady ambaye alifariki wiki iliyopita nchini Afrika Kusini akiwa kwenye matibabu ya kile kilichoelezwa kuwa ni shinikizo la damu.
Nimekukusanyia hizi picha 20 kutoka Kayunga Kampala, nyumbani kwa wazazi wa Ivan Semwanga ambako atazikwa.
Baba mzazi na dada yake Zari wakiongea na ripota wa AyoTV
Moja kati ya magari ya kifahari Hummer alilokuwa akilimiki mfanyabiashara Ivan Don ambaye ni mzazi mwenza wa Zari
Kaburi ambalo mwili wa Ivan Semwanga The Don utazikwa kijijini kwao Kayunga Kampala Uganda
Kilichoandikwa na moja ya magazeti ya Uganda kuhusu kifo na utajiri wa Ivan Don.
       
   

Post a Comment