MAMBO YA BUNGENI DODOMA LEO


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiingia Bungeni kwa ajili ya kuongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Job Ndugai akiongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akijibu maswali mbalimbali kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum, Ritha Kabati akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Agustine Maige pamoja na Naibu wake, Susan Kolimba wakijiandaa kuwasilisha Bajeti ya Wizara yao kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Mbunge wa Mtwara Vijijini (CCM), Hawa Ghasia akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Naibu Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Hamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.

Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Charles Tizeba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Mbunge wa Kalambo, Josephat Kandege akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na Mbunge wa Mbuya Mjini, Joseph Mbilinyi katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017. 
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Agustine Maige akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa 2017/2018 katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*