4x4

MAPOKEZI YA UBINGWA WA YANGA NI BALAAAA!!!!!

 Mashabiki wa Yanga wakiwa katika mapokezi ya timu yao iliyotaa ubingwa kwa mfululizo miaka mitatu leo jijini Dar es Salaam. Mapokezi hayo yalianzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam hadi makao makuu ya Yanga katika mitaa ya Jangwani na Twiga, Dar es Salaam. PICHA ZOTE AKHAMISI MUSSA

Post a Comment