Mazishi ya Ivan: Watoto wa marehemu watoa ujumbe wa mwisho


Shughuli ya kuuzika mwili wa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na Afrika Kusini ambaye pia alikuwa mume wa Zarina Hassan, Ivan Ssemwaga zinaendelea katika makaburi ya ukoo wake yaliyoko Kayunga, nchini Uganda.

Zari akiwa na watoto wake mbele ya jeneza
Baada ya jana Zari kutoa kauli yake ya kwanza toka Ivan kufariki, leo watoto wa marehemu wametoa kauli yao ya mwisho kwa marehemu baba yao.
Soma taarifa hii…
“Dad, so many thoughts come to our mind whenever we speak of your name; it seems without you in our lives things will never be the same. We think of the good old days when we were still so little; consumed in your love, and in your smile.”
“Those days are gone and no matter what we do, life will never be the same! Oh Dad, if only we could turn back the hands of time and hear your voice once more, but God called you to a better place, so peaceful and free of pain. And when we see you sleeping, we can only wish the best for you.”
Ivan Semwanga alifariki katika Hospitali ya Biko Academy nchini Afrika Kusini, Alhamisi wiki iliyopita kutokana na ugonjwa wa moyo na kuzikwa leo.













Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA