4x4

MECK SADICK AVUNJA UKIMYA

"Sababu za kuacha kazi anazijua Rais niliyemuomba, siwezi kumtangazia kila mtu hili, ila changamoto kubwa ni pale unapotaka kitu fulani kifanyike na hakifanyiki, hiki ni kitu kinachotuumiza sana viongozi. Kwa mfano utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi na wananchi wana matarajio kwamba itakapofika 2020 serikali ya CCM itakuwa imefanya moja, mbili, tatu, nne sasa yasipofikia hayo matarajio yao ni changamoto kubwa" - Said Meck Sadick 
Post a Comment