4x4

MISS TANZANIA SUPER MODEL AWASILI CHINA


Mshindi wetu wa Miss Tanzania Super Model 2017, Asha Mabula tayari amewasili Macau, China akiiwakilisha Tanzania kwenye Mashindano ya "World Super Model". Tufungue Facebook page ya "World Super Production" na "ku-like" picha zake kwa wingi ili kumwongezea points za ushindi. Viva Asha


Post a Comment