More 8 of 2,575 Print all In new window YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO May 27, 2017.
8 of 2,575
YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO May 27, 2017.
Yaliyojiri katika vituo mbalimbali vya Televisheni hii leo.
Serikali imeagiza vifaa vya kisasa vya upimaji ardhi nchini kwa lengo la kuwasaidia kuepusha migogoro ya ardhi inayojitokeza mara kwa mara; https://youtu.be/h3iVVqTzpyc
Shirika la umeme Tanzania na wakala wa barabara Tanzania TANROADS wamekutana pamoja kutatua mgogoro wa miundombinu ya umeme. https://youtu.be/N30Gmi03z68
Mamlaka ya mapato mkoani Kigoma imetowa muda wa siku 30 kwa wamiliki wa majengo kulipa kodi wanayodaiwa; https://youtu.be/XrZIY9sOdGM
Rais John Magufuli ametoa msaada wa vifaa tiba katika hospitali ya wilaya ya Pangani mkoani Tanga; https://youtu.be/ZIcALsx6emc
Serikali kupitia wizara ya kilimo na uvuvi imeutambulisha mfumo mpya wa uagizaji mbolea lengo likiwa ni kudhibiti bei; https://youtu.be/G1AEGquo2ok
Watumishi na watendaji wa mahakama zote nchini wametakiwa kuzingatia maadili wakati wa utekelezaji majukumu yao; https://youtu.be/5kFH2-T_ymY
Tume ya kudhibiti UKIMWI TACAIDS imesema mabadiliko ya sera ya kumbana na virusi vya ukimwi imekuwa ni kikwazo katika kufikia malengo yake; https://youtu.be/WdaPGtJE-EI
Serikali za Tanzania na Uganda zimesaini mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda hadi Tanga Tanzania; https://youtu.be/icW3mFuhqb0
Rais Shein awataka wafanyabishara Zanzibar kuwa waadilifu katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani; https://youtu.be/mHkf64lvWqE
Benki ya dunia imeridhika na hatua zilizochukuliwa na wananchi wa Zanzibar katika kusimamia miradi yao kupitia mradi wa TASAF; https://youtu.be/APunh8jwPP0
Regards,
Felister Joseph.
Preview YouTube video Suala La Utatuzi Wa Migogoro Ya Ardhi Nchini
Preview YouTube video Tanroads Yamaliza Mgogoro Wake na TANESCO
Preview YouTube video TRA Kigoma Yatoa siku 30 Wamiliki Wa Majengo
Preview YouTube video Rais Magufuli Atoa Msaada Wa Vifaa Tiba
Preview YouTube video Mfumo Mpya Wa Uagizaji Mbolea
Preview YouTube video Wito Kwa Watumishi Wa Mahakama Nchini
Preview YouTube video Changamoto Zinazoikabili TACAIDS
Preview YouTube video Ujenzi Wa Bomba La Mafuta
Preview YouTube video Kauli Ya Rais Shein Kwa Wafanyabiashara
Preview YouTube video Kauli Ya Benki Ya Dunia Kwa Wazanzibari
|
Comments