4x4

MTOTO ANAYEONGEZEKA MWILI KIMAAJABU APELEKWA INDIA

 Baadhi ya wauguzi na madaktari wakimpandisha kwenye gari la wagonjwa, Mtoto anayeongezeka uzito Antonia Msoka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam , kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, tayari kwenda India kwa matibabu kwa ufadhiri wa serikali. (NA MPIGAPICHA MAALUMU)


Post a Comment