NAIBU SPIKA DK.TULIA AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA JHPIEGO

 Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania.
Jeremie Zoungana, aliyekuja kuzungumza naye na kubadilishana uzoefu wa
kazi, kabla ya kuanza kikao kilichofanyika juzi Ofisini kwake Mjini
Dodoma
 Naibu Spika  wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akizungumza na ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma,
ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jeremie
Zoungana (wa pili kulia).
Naibu Spika  wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akimsikiliza Mkurugenzi wa Mradi wa USAID wa Boresha Afya, Ndg. Dustan
Bishanga (wa pili kushoto) akizungumza leo katika kikao kilichofanyika
Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

WAZIRI SHONZA AMJIBU DIAMOND