4x4

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AZINDUA PROGRAMU YA WAKALA WA MAFUNZO YA UJUZI WA MTANDAO WA KITIFA

Naibu Waziri,Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana na Ajira, Antony  Mavunde akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi wa programu ya Wakala wa Mafunzo ya Ujuzi  wa Mtandao wa Kitaifa (Tanzania GAN National Newtwork (GNN) iliyoandaliwa na  Asasi ya Global Apprenticeship Newtwork  (GAN ) na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE)  Jijini Dar es Salaam leo.(PICHA NA DALILA SHARIF)
Post a Comment