4x4

SHULE YA FEZA YAMWAGA MSAADA UMISSETA


Mkurugezi washule za feza kulia akimkabidhi fulana za mishezo ya umisseta afisa wa elimu wa mkoa wa Dar-es-salaam hamisi lissu yatakayofanyika katika mkoa wa mwanza mwishon mwa wikii hii 2 Afisa Elim mkoa wa Dar-es-salaam akipokea fulan za michezo ya umisseta yakayofanyika mkoa wa mwanza mwishioon mwa wikii hii kutoka kwa Rais wa kilimanjaro dialogue mr Ali akiz na anayefata ni mkurugezi wa shule za feza mr Ibrahim yunus tukio hilo limefanyika jana ofini kwake

Post a Comment