4x4

SPIKA NDUGAI AKIWA ZIARANI KENYA

  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugai  (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Bunge la Kenya linavyofanya kazi kutoka kwa Spika wa Bunge hilo Mhe Justin Muturi.Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job akipokea zawadi kutoka Spika wa Bunge la Kenya, Justin Muturi jijini Nairobi jana, akiwa katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge. (PICHA NA BUNGE)(Picha na Ofisi ya Bunge)
Post a Comment