4x4

SPORTPESA YAINGIA MKATABA KUIDHAMINI SINGIDA UNITED

Nahoza wa Singida United, Niza Halfan (kulia), akipokea jezi itakayotumia timu hiyo kwenye msimu huu kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Pavel Slavkov wakati wa kuasiniana mkataba huo.
Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa,Pavel Slavkov,(kulia), akimpongeza Mratibu Mkuu wa Singida United, Festo Sanga, wakati wa makabidhiano ya nyaraka za mkataba mpya.
Post a Comment