More
7 of 2,353
Yaliyojiri katika maombolezo ya kitaifa ya wanafunzi wa Lucky Vicent May 6, 2017.
Yaliyojiri katika tukio la maombolezo ya kitaifa ya wanafunzi wa Lucky Vicent waliofariki kwa ajali.
Viongozi wa dini wakipita kutoa salamu zao pole kwa familia zilizopoteza ndugu , jamaa, rafiki na watoto., walimu na dereva waliotangulia mbele ya haki. https://youtu.be/U8JdU3_6xcQ
Majonzi, simanzi miiili ya marehemu ikiwasili katika uwanja wa sheikh Amri Abeid kwa ajili ya watu kutoa salamu zao mwisho https://youtu.be/CjvKdPmins4
Miili ikiendelea kuwasili katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya watu kutoa salamu zao za mwisho; https://youtu.be/9EMQ_I_gjw8
Sheik mkuu wa mkoa wa Arusha akisoma dua maalum kwa ajili ya watoto , walimu na dereva waliopoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea jumamosi ya wiki iliyopita. https://youtu.be/QI7UWBuE4uU
Viongozi wa dini wakisoma dua maalum kwa ajili ya watoto , walimu na dereva waliopoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea jumamosi ya wiki iliyopita. https://youtu.be/5rGb_ozNPuM
Sehemu ya hotuba ya makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kwa familia, ndugu na jamaa waliopoteza ndugu zao katika ajali ya gari iliyochukua uhai wa wanafunzi, walimu na dereva jumamosi ya wiki iliyopita.
Wazazi , ndugu na jamaa wakipita mbele kuweka maua pamoja na kuaga miili ya marehemu wanafunzi, walimu pamoja na dereva waliopoteza uhai katika ajali ya gari iliyotokea jumamosi ya wiki iliyopita. https://youtu.be/1HS17qwU2EY
Regards,
Felister Joseph.
Preview YouTube video Viongozi Wa Dini Wakitoa salamu Za Pole
Preview YouTube video Miili Ikiwasilia Ndani Ya Uwanja Wa Sheikh Amri Abeid
Preview YouTube video Miili Ikiendelea Kuletwa Katika Uwanja Wa Sheikh Amri Abeid
Preview YouTube video Dua Kutoka Kwa Sheikh Mkuu Wa Mkoa Wa Arusha
Preview YouTube video Dua Kutoka Kwa Askofu Wa KKT
Preview YouTube video Hotuba Ya Makamu Wa Rais Kuagwa Kwa Miili Ya Wanafunzi Arusha
Preview YouTube video Zoezi La Kuweka Maua
|
Comments