Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella


     
Mh. Balozi George Kahema Madafa katika tukio la kukabidhi hati za utambulisho kwa Rais Wa Jamhuri ya Italia Mh. Sergio Mattarella kwenye Ikulu ya Rais jijini Roma hapo tarehe 18.05.2017. Mh. Balozi Madafa aliambatana na maafisa wawili wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia pamoja na mkewe Bi. Esther Bhoke Madafa.
balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 1

balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 2
balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 3
balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 4
balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 5
balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 6
balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 9
balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 10
balozi george madafa akabidhi hati za utambulisho 18052017 11

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU