Biashara ya pombe yashuka kote Duniani

Unywaji wa pombe uliendelea kupungua mwaka wa 2016Haki miliki ya pichaSEAN DEMPSEY
Image captionUnywaji wa pombe duniani ulishuka mwaka wa 2016
Idadi ya watu wanaojivinjari kwa mvinyo imepungua, kulingana na ripoti ya shirika mpya linalofuatilia unywaji wa pombe duniani.
Uuzaji wa pombe uliendelea kudidimia mwaka jana huku pombe ya Cider iliyoanza kupata maarufu sasa hainunuliwi kama hapo mwanzoni.
Soko la kimataifa la pombe lilipingua kwa asilimia 1.3 mwaka wa 2016, hali iliyosababishwa na kushuka kwa ununuzi wa pombe kwa asilimia 1.8.
Uuzaji wa pombe ya Cider ulishuka kwa asilimia 1.5 baada ya miaka kadhaa ya kufanya vizuri.
Kulingana Shirika la fedha duniani, kukua kwa uchumi wa nchi huwa inaachangia kuongezeka kwa unywaji wa pombe
Uuzaji wa pombe nchini China ulishuka kwa asilimia 4.2, huku nchini Brazil na Urusi ukishuka kwa asilimia 5.3 na 7.8 mtawalia.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)