4x4

HABARI MPASUKOOO ASKARI AUAWA, GARI LACHOMWA MOTO KIBITI


MAUAJI KIBITI: Taarifa ambazo hazijathibitishwa hadi sasa zinadai kuwa, watu wasiojulikana wamemuua askari wa Usalama Barabarani katika Kijiji cha Bungu B wilayani Kibiti, leo mchana.
Taarifa hizo zimeeleza kuwa gari la askari hao pia limechomwa moto huku askari mmoja mwanamke akinusurika kuuawa na kwa sasa vikosi vya ulinzi na usalama vinaelekea eneo la tukio.
Tutaendelea kukujuza jina la askari huyo na namna mauaji hayo yalivyotokea hivi punde.  
Post a Comment