4x4

HABARI MPASUKOOO!!!! BASI LA BATCO LATEKETEA KWA MOTO MARA

 Basi la Batco namba T192DHW likiteketea kwa moto katika eneo la Kirumi, Kata ya Bukabwa, mkoani Mara leo. Basi hilo linafanya safari zake Tarime-Sirari na Mwanza. Hakuna mtu aliyejeruhiwa bali mali za baadhi ya abiria zimeteketea. (PICHA KWA HISANI YA CLEO 24NEWS)


Post a Comment