4x4

HABARI MPASUKOOO!!!! MMILIKI WA ACACIA AMPIGIA MAGOTI RAIS MAGUFULI

KULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambaye ni mmiliki mkubwa wa Kampuni ya Madini ya Acacia, Prof Thornton na kufanya naye mazungumzo leo Juni 14, 2017.
Katika mazungumzo hayo, Rais Magufuli amesema mmiliki huyo amekubali kampuni yake ikae meza moja ili kufanya mazungumzo na serikali ya Tanzania kuhusu yaliyoainishwa kwenye ripoti mbili za makontena ya mchanga wa madini ambazo zimeshawasilishwa kwake.
SOMA TAARIFA YA IKULU HAPA
Post a Comment