4x4

IGP Sirro alivyokwenda Kibiti na MkurangaWiki moja tangu IGP Simon Sirro aapishwe na JPM kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, leo June 6, 2017 Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amefanya ziara yake ya kwanza Kibiti na Mkuranga kutimiza ahadi baada ya kuombwa na wazee wa maeneo hayo.
Eneo hilo la Pwani ni miongoni mwa maeneo ambayo mauaji yameripotiwa, hii video hapa chini ina kila kitu cha IGP Sirro leo


Post a Comment