4x4

JK ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA NDESAMBURO

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi  kwa familia ya Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, marehemu Philemon Ndesamburo, pia kuna tetesi kwamba atahudhuria msiba huo.
Post a Comment