4x4

JPM AAGIZA NGELEJA, CHENGE, MWANYIKA, YONAH WAHOJIWE SAKATA LA MCHANGA WA MADINI

 Rais John Magufuli akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi Nehemiah Oroso  kuhusu ripoti ya   Uchunguzi wa Makontena 277 ya Mchanga wa Madini Ikulu Dar es Salaam leo. Habari zaidi mtaletewa  baadaye. Rais Magufuli ameagiza viongozi wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine kisheria kiuchumi kuruhusu mchanga huo wahojiwe .

Post a Comment