4x4

JPM AKIONGEA LIVE NA WANANCHI WA KIBAHA PWANI

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli yupo mkoani Pwani kwa ziara ya kikazi ambapo leo anawahutubia wananchi wa Bwawani, Kibaha mkoani humo.
Katika siku za hivi karibuni, Mkoa wa Pwani umekumbwa na mfululizo wa matukio ya mauaji, jambo linaloonesha kumkera sana mheshimiwa rais.
Post a Comment