KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAHARIBU SHAMBA LA MBOWE HAI

 Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Hai ikiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Hai, Gelasius Byakanwa wamevamia shamba la kilimo cha mboga mboga cha kisasa la Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Aikael Mbowe lililopo nyumbani kwake Machame Kilimanjaro na kuharibu miundombinu ya shamba pamoja na mazao na mimea mbalimbali, leo Jumanne 13 Juni 2017.









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.