4x4

KILIMANJARO DIALOGUE YAENDESHA MJADALA WA USAFI WA MAZINGIRA

 Msemaji wa Taasisi ya Kilimanjaro Dialogue Habibu Miraji akizungumza na Ofisa wa Mazingira Manispaa ya Ilala, Ester Masomhe (wa pili kulia)pamoja na waandishi wa habari, Dar es Salaam,  ambapo walijadili usafi wa mazingira na mipango miji ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani.
Post a Comment