4x4

KUMBUKIZI;TEAM KINANA IKIWA BUKOBA KIKAZI

Waandishi wa habari waliokuwa katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana ya kuimarisha uhai wa chama hicho miaka miwili iliyopita. Kutoka kushoto ni Mpigapicha Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo ambaye pia ni mmiliki wa Blog ya Kamanda wa Matukio, Richard Mwaikenda, Pius Mtangazaji wa Uhuru FM Radio, Ahmad Michuzi wa Michuzi Blog, Mary Geofrey wa Nipashe, Patricia Kimelemeta wa Mtanzania na John Bukuku wa Fullshangwe Blog
Post a Comment