4x4

LADY JAY DEE AONESHA MJENGO WAKE MPYA

 Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameweka baadshi ya picha za jumba hilo na kuandika, “Jide Ville.” Mashabiki wameanza kujiuliza, je huo ndio mjengo ambao yatakuwa makazi mapya ya Jide na mpenzi wake Spicy kutoka Nigeria?
Msani huyo ameonyesha picha za mjengo wake mpya wa kisasa alioujenga ambao upo maeneo ya Kimara Temboni jijini Dar es Salaam.
Post a Comment