Makundi Na Ratiba Ya Kombe La Mabara Inayoanza Leo Hii Hapa..


Kombe la Mabara inatarajiwa kuanza leo Jumamosi nchini Urusi ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya kufanyika kwa fainali za Kombe la Dunia ikishirikisha mataifa nane.
KOMBE LA MABARA 2017
Kundi A
1. Mexico
2. New Zealand
3. Ureno
4. Urusi
Kundi B
1. Australia
2. Cameroon
3. Chile
4. Ujerumani
RATIBA MABARA
Juni 17, 2017
Russia        v    New Zealand    Zenit        12:00 Jioni
Juni 18, 2017
Ureno        v    Mexico        Kazan    12:00 Jioni
Cameroon        v    Chile            Otkrytie    3:00 Usiku
Juni 19, 2017
Australia        v    Ujerumani        Fisht        12:00 Jioni
Juni 21, 2017
Urusi            v    Ureno        Otkrytie    12:00 Jioni
Mexico        v    New Zealand    Fisht        3:00 Usiku
Juni 22, 2017
Cameroon        v    Australia        Zenit        12:00 Jioni
Ujerumani        v    Chile            Kazan    3:00 Usiku
Juni 24, 2017
New Zealand    v    Ureno        Zenit        12:00 Jioni
Mexico        v    Russia        Kazan    12:00 Jioni
Juni 25, 2017
Chile            v    Australia        Otkrytie    12:00 Jioni
Ujerumani        v    Cameroon        Fisht        12:00 Jioni

0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MAMEYA WA TEMEKE, UBUNGO WATWANGANA UCHAGUZI WA NAIBU MEYA DAR

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

RAIS MSTAAFU KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MWANAHABARI ATHUMAN HAMISI DAR