4x4

MAMADOU SAKHO ANAVYOENDELEA KUJIACHIA NDANI YA TANZANIA
Beki Mamadou Sakho wa Liverpool raia wa Ufaransa ameendelea kula raha akitalii nchini Tanzania.

Taarifa zinaeleza Sakho yuko nchini pamoja na familia yake akiwa ameongozana na mkewe Majda na wanatarajia kutembelea katika mbuga za wanyama ingawa imekuwa ikifanywa siri kubwa.
Post a Comment