4x4

Man United yaongoza kwa utajiri wa vilabu dunianiKlabu ya Manchester United imetajwa kuongoza orodha ya vilabu vyenye thamani kubwa duniani.
Kwa mujibu wa Kampuni ya KPMG, imesema timu hiyo imeongoza orodha hiyo kutokana na haki za kupeperusha matangazo, faida, umaarufu, uwezo kimchezo na umiliki wa uwanja. Hizi ni timu 15 zinazoongoza orodha hiyo.
1. Manchester United (€3.004bn)
2. Real Madrid (€2.895bn)
3. Barcelona (€2.688bn)
4. Bayern Munich (€2.367bn)
5. Manchester City (€1.909bn)
6. Arsenal (€1.882bn)
7. Chelsea (€1.524bn)
8. Liverpool (€1.260bn)
9. Juventus (€1.158bn)
10. Tottenham Hotspur (€978m)
11. Paris Saint-Germain (€948m)
12. Borussia Dortmund (€917m)
13. Atletico Madrid (€771m)
14. Schalke (€663m)
15. AC Milan (€504m)
Post a Comment