4x4

MTEMVU AFIWA NA MAMAKEMbunge wa zamani wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam,
Abbas Mtemvu amefiwa na mama yake  mzazi Sitti Kilungo  Mtemvu kilichotokea siku ya jumatano. Msiba upo Masaki  Mtaa wa Haile Selasie karibu na Hospitali ya Oysterbay.
 Mazishi yanatarajiwa kufanyika leo saa kumi  alasiri katika  makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam. (PICHA KWA HISANI YA FAMILIA, KHAMISI MUSSA)
Post a Comment