4x4

MVUA ILIVYONINUFAISHA DAR

 Mmiliki wa blogu hii, Richard Mwaikenda akiwa na familia yake Kivule, Ukonga, Dar es Salaam kwenye kashamba kake ka mahindi manufaa aliyoyapata kutoka na mvua iliyokuwa inanyesha Dar es Salaa kwa takribani mwezi mmoja. Aliyebebwa ni kitinda mimba wangu Lusekelo Mwaikenda na mwingine ni Fatma Nassoro mtoto wa shemeji yangu
MGOMBA UKIWA UMESTAWI VILIVYO

Kutoka kushoto ni Ezeleina Mwaikenda na kutoka kulia ni Monji na Tuse Mwaikenda
Post a Comment