4x4

MWANAFUNZI WA UDSM ALIYEPIGWA RISASI KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI AZIKWA DAR

 Waumini wa Dini ya Kiislamu wakienda kuzika mwili wa Ustadh, Imamu na Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,  Salum Almas wakitokea Msikiti wa Kichangani Magomeni jijini Dar es Salaam jana. Salum alipigwa risasi na Jeshi la Polisi May 14 mwaka huu akituhumiwa kuwa ni jambazi eneo la Kurasini shimo la Udongo.
Post a Comment