4x4

MWILI WA MZEE KANYASU 'ALIYESHORA' NEMBO YA TAIFA WASAFIRISHWA LEO

Waombolezaji wakiongozwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungereza (kushoto) wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Francis Kanyasu, Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam jana, tayari kwa safari ya kwenda nyumbani kwao wilayani Misungwi, Mwanza kwa mazishi. Kanyasu alikuwa anadai kwamba ndiye aliye chora nembo ya Taifa. (NA MPIGAPICHA MAALUMU)
Post a Comment