NDUGAI, BALOZI WA CHINA WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KONGWA

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Balozi Lou Youqing (kulia) kabla ya kuanza ziara ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akitembelea shule ya msingi ya Ibwaga, shule aliyosoma wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma. wa pili kushoto, ni Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa  Balozi Lou Youqing.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akiongozana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Lou Youqing wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Banyibanyi wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma. kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Lou Youqing na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya kongwa, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA