NMB, Mgahawa wa VVK wafanikisha futuru na watoto yatima zaidi 450 Dar es Saalam



 Email
 Print
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo na wa Kati wa Banki ya NMB, Omary Mtiga akizungumza na zaidi ya watoto 450 waliopo kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani kutoka vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dar es Salaam. NMB kwa kushirikiana na Mbunifu wa Mavazi nchini, Khadija Mwanamboka ambaye ni mmiliki wa mgahawa wa VVK na wadau wengine katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika wamefanikiwa kufuturisha watoto hao yatima kutoka vituo mbalimbali vya jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo na wa Kati wa Banki ya NMB, Omary Mtiga (wa pili kulia) akitoa zawadi kwa watoto walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Mbunifu wa Mavazi nchini, Khadija Mwanamboka ambaye ni mmiliki wa mgahawa wa VVK na wadau wengine ikiwemo Benki ya NMB katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika. Shughuli hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Shabaan Robert uliopo Upanga na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali pamoja na wadau waliosaidia kufanikisha jambo hilo wakiwemo NMB na wengine. Baadhi ya watoto waliopo kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani kutoka vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dar es Salaam wakiwa katika futari iliyoandaliwa na NMB kwa kushirikiana na Mbunifu wa Mavazi nchini, Khadija Mwanamboka ambaye ni mmiliki wa mgahawa wa VVK na wadau wengine katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Sehemu ya watoto waliopo kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani kutoka vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dar es Salaam, wakiwa katika futari iliyoandaliwa na NMB (mdhamini) kwa kushirikiana na Mbunifu wa Mavazi nchini, Khadija Mwanamboka ambaye ni mmiliki wa mgahawa wa VVK na wadau wengine katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Sehemu ya zaidi ya watoto 450 waliopo kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani kutoka vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dar es Salaam wakiwa katika futari hiyo kwenye Ukumbi wa Shaan Robert. Sehemu ya zaidi ya watoto 450 waliopo kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani kutoka vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dar es Salaam wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwenye Ukumbi wa Shaan Robert.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA