Nusu fainali kombe la dunia la vijana kuchezwa leo


KikosiHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionKikosi cha Uruguay
Michezo miwili ya nusu fainali ya kombe la dunia la vijana chini ya miaka 20 itapigwa leo huko korea kusini.
Uruguay waliowaondosha Ureno katika robo fainali watashuka katika dimba la Daejeon kukipiga na Venezuela waliowaondosha Marekani katika hatua ya robo fainali.
EnglandHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionKikosi cha England
Katika dimba la Jeonju Italy, waliowafungisha virago Zambia watakipiga na England,ambao waliwaondosha Mexico katika robo fainali.
Michezo ya mshindi wa tatu na fainali itapigwa tarehe 11 ya mwezi huu katika Suwon.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)