Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja Mama Salma Kikwete (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigala, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Ndikilo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga, Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete , Katibu wa Itikadi na Uenezi ya CCM Hamphrey Polepole pamoja na viongozi wengine wa Serikali.
. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine
wa Kiserikali na Wabunge, akivuta kitambaa kuashiria jiwe la ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye
urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani
Pwani.
. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa mara baada ya kuweka jiwe la
ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64
katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani
. Sehemu ya barabara ya
Bagamoyo-Makofia –Msata kama inavyoonekana pichani.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Wafanyakazi wa TANROADS mkoa wa Pwani na Dar es Salaam mara baada ya kufungua
barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64. Wengine katika
picha ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Ndikilo, Mama Salama Kikwete,
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigala,
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa Katibu wa
Itikadi na Uenezi ya CCM Hamphrey Polepole pamoja na viongozi wengine wa
Serikali.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kabla ya kufungua
Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la
Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kufungua Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata
yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani
Pwani
. Mtendaji Mkuu wa
TANROADS Eng. Patrick Mfugale akielezea hatua za ujenzi wa Madaraja katika
barabara ya Bagamoyo-Msata huku Rais Dkt. Magufuli akimsikiliza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akikagua kiwanda cha Viuadudu cha Kibaha mkoani Pwani.
Mbunge wa Bagamoyo Dkt.
Shukuru Kawambwa akisalimia kabla ya ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia
Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo
mkoani Pwani
. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa TANROADS Eng. Patrick
Mfugale akizungumza kabla ya ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata
yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani
Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Prof. Norman Sigala wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kabla ya ufunguzi wa barabara hiyo ya Bagamoyo-Msata.
.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda hicho cha
Matunda cha Sayona Fruits kilichopo Mboga Chalinze mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza baada ya kufungua
kiwanda cha Matunda cha Sayona Fruits kilichopo Mboga Chalinze mkoani Pwani.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Kiwangwa wakati akielekea kufungua barabara ya
bagamoyo-Msata mkoani Pwani. PICHA NA IKULU
Comments