SPIKA WA BUNGE AFIKA UBALOZI WA IRAN KUTOA POLE KUFUATIA SHAMBULIO LA KIGAIDI KATIKA BUNGE LA NCHI HIYO

 Spika wa Bunge Mhe Job  Ndugai akisalimiana na Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang alipokwenda kumpa pole  kufuatia shambuliyo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6.

 Spika wa Bunge Mhe Job  Ndugai (katikati) akizungumza  na Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang alipokwenda kumpa pole  kufuatia shambulizo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6.  Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini Mhe. Dotto Biteko ambaye aliambatana na Mhe Spika na kushoto ni Mkalimani wa Balozi huyo.
  Spika wa Bunge Mhe Job  Ndugai akisaini kitabu cha maombolezo  katika Ubalozi wa Iran kufuatia shambulizo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6. Kushoto ni Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang.
Spika wa Bunge Mhe Job  Ndugai akiagana  na Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang mara baada ya kumpa pole  kufuatia shambulizo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI