STARS WAREJEA DAR ES SALAAM KUTOKA MISRI, TAYARI KWA KAZI YA LESOTHO


Kikosi cha Taifa Stars kimerejea nchini kikitokea Misri ambako kiliweka kambi maalum.

Stars chini ya Kocha Mkuu, Salum Mayanga inajiandaa kucheza na Lesotho katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Afcon.

Mechi ya kwanza itachezwa Jumamosi ijayo jijini Dar es Salaam.

Kikosi kizima kimerejea leo kutokea Misri na sasa kitaendelea na maandalizi kikiwa Dar es Salaam hadi siku ya mechi.0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)