4x4

TAIFA STARS YAWASILI MISRI KUPIGA KAMBI

Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania – Taifa Stars imewasili salama Tolip Sport City, Alexandria nchini Misri tayari kabisa kuanza kambi ya wiki moja kujiandaa kucheza na Lesotho katika mchezo wa Kundi L kuwania kucheza fainali za AFCON.BY HAMZA FUMO
Post a Comment