4x4

TANZANIA YA TANO KWA WINGI WA WATU AFRIKA

Tanzania ni nchi ya tano kwa wingi wa watu Afrika. nchi zingine ni Nigeria, Ethiopia, Misri na DRC Congo.

Hayo yamesemwa leo bungeni, Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alipokuwa akiwasilisha Bajeti Kuu ya mwaka 2017/18. kwa mwaka jana ilikadiriwa kuwa na zaidi ya watu milioni 48.

Pia Tanzania ni nchi ya pili kwa ustawi Afrika Mashariki ikitanguliwa na Kenya.
Post a Comment