Toure aongezewa mkataba wa mwaka mmoja City


Guardiola (kulia) amekuwa mwalimu wa Toure tokea akiwa Barcelona
Image captionGuardiola (kulia) amekuwa mwalimu wa Toure tokea akiwa Barcelona
Kiungo wa Manchester City Yaya Toure amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja katika klabu hiyo ya ligi kuu.
Toure mwenye miaka 34 alijiunga city mwaka 2010 na amefunga magoli 81 katika michezo 299.
Mwanzoni mwa msimu huu, Toure aliachwa nje ya kikosi kilichoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa wa Ulaya na kisha meneja wake Pep Guardiola akaingia kwenye malumbano na Dimitri Seluk.
Toure alijiunga na City mwaka 2010 akitokea Barcelona baada ya kutemwa na Guardiola
Image captionToure alijiunga na City mwaka 2010 akitokea Barcelona baada ya kutemwa na Guardiola
Kwa simu za hivi karibuni Toure aliyejiunga na City akitokea Barcelona, ameibuka na kuwa muhimili wa klabu hiyo jambo lililomfanya Guardiola kumuongezea mkataba mwingine.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)