Unamkumbuka Rama ‘Mla Nyama za Watu’? – Mtazame LIVE Interview Kupitia Global TV


Exclusive! Kwa mara ya kwanza katika mahojiano maalum siku chache tangu atoke gerezani, mtoto aliyewahi kuwa gumzo, Ramadhan Seleman Musa aliyekuwa maarufu kwa jina la Rama Mla Watu ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 19, amefunguka ‘live’ juu ya mkasa wake mzima wa kunaswa akila kichwa cha mtoto.
Kwa kumbukumbu, mwaka 2008, akiwa na umri wa miaka 11 tu, Rama alishikiliwa na vyombo vya dola nch­ini Tanzania kwa tuhuma za mauaji ya mtoto, Salome Yohana (3), mkazi wa Tabata jijini Dar, baada ya kuku­twa na kichwa cha mtoto huyo kiki­vuja damu huku akikitafuna katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, yapata miaka tisa iliyopita.
Mwaka 2013, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ilimuachia huru Rama kufuatia ripoti ya daktari iliyoonesha kuwa wakati anatenda kosa hilo alikuwa ana matatizo ya akili.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

WAZIRI SHONZA AMJIBU DIAMOND

HABARI MPASUKOOO!!! MCHAWI ADONDOKA AKIWA UCHI KIVULE,DAR

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA