Video: Fainali ya Mashindano ya Kuhifadhi Quran Tukufu Afrika 2017 Uwanja wa Taifa


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati) akiwa na Mufti Aboubakar Zuberi (kulia) na mgeni rasmi Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Makkah na Madina, Abdul Rahman Al Sudas (kulia).
Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Makkah na Madina, Abdul Rahman Al Sudas akiangalia mashindano hayo wakati yanaendelea. Kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akifuatilia mashindano hayo.
Washiriki wakiendelea na mashindano ya kusoma Quran.
Maelfu ya waumini wa Kiislam waliofurika Uwanja wa Taifa kufuatilia mashindano hayo.
Mashindano makubwa ya Afrika ya kuhifadhi na kusoma Quran Tukufu yaliyokuwa yakifanyika  tangu  Uwanja wa Taifa tangu asubuhi, yamemalizika kwa washiriki kumaliza kusoma, ikisubiriwa majaji kumtangaza mshindi.
Mashindano hayo yamehudhuriwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Mufti Mkuu Aboubakar Zuberi, viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa wakiongozwa na ugeni maalum kutoka kwa Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Makkah na Madina Abdul Rahman Al Sudas.
(HABARI/PICHA: HILALY DAUDI /GPL)

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.